Rais wa Komoro Mohamed Abdala Sambi ahutubia bunge la Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.08.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Rais wa Komoro Mohamed Abdala Sambi ahutubia bunge la Tanzania

Nchini Tanzania Rais wa Komoro Mohamed Abdala Sambi amehutubia bunge la nchi hiyo mjini Dodoma hii leo.

Wananchi wa Anjouan washangilia kufika kwa jeshi la Tanzania kisiwani humo.

Wananchi wa Anjouan washangilia kufika kwa jeshi la Tanzania kisiwani humo.

Itakumbukwa kuwa serikali ya Tanzania ambayo ndiyo mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ilipeka kikosi chake kisiwani Nzouani ili kukikomboa baada ya Kanali Mohamed Bacar kukataa kuondoka madarakani.Kanali Mohamed Bacar alifanya uchaguzi kinyume na sheria mwezi Juni mwaka 2007.Umoja wa Afrika kwa upande wake ulieleza kuwa uchaguzi huo ulifanyika kinyume na sheria.Ili kupata picha halisi Thelma Mwadzaya amezungumza na Tausi Mbowe mwandishi wa habari aliyehudhuria kikao hicho cha Bunge mjini Dodoma.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com