1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
 Tansania | Generalsekretär der Regierungspartei in Tansania CCM Emmanuel John Nchimbi
Picha: CCM

Emmanuel Nchimbi

Emmanuel John Nchimbi, mwanasiasa wa Tanzania, aliwahi kuwa Mbunge wa Songea Mjini (2010–2015), Balozi wa Tanzania Misri na Brazil, Katibu Mkuu wa CCM, na sasa mgombea mwenza wa urais 2025 kupitia Chama cha Mapinduzi CCM