Rais Kabila aiambia Ubelgiji isiingilie masuala ya ndani ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.04.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rais Kabila aiambia Ubelgiji isiingilie masuala ya ndani ya nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo ameiomba Ubeligiji ifafanue vyema uhusiano wake na nchi yake.

default

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Rais Kabila alisema hawezi kamwe kukubali viongozi au wanasiasa wa nchi nyengine kuingilia kati masuala ya ndani ya Kongo.

Hayo yanafuatia matamshi ya waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ubelgiji Karel de Gucht , kama anavyosimulia zaidi mwandishi wetu huko Kinshasa, Saleh Mwanamilongo.Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com