POTSDAM UJERUMANI: Wajerumani watangaza urafiki na wazanzibar | Habari za Ulimwengu | DW | 08.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

POTSDAM UJERUMANI: Wajerumani watangaza urafiki na wazanzibar

Halmashauri ya mji wa Potsdam, imetangaza kuanzisha ushirikiano wa kidugu na mji wa Zanzibar nchini Tanzania.

Uamuzi huo ulifikiwa jana usiku katika kikao cha wakuu wa Halmashauri ya mji huo, uliyo jirani na jiji la Berlin.

Mji wa Potsdam ni makao makuu wa jimbo la Brandburg nchini Ujerumani na tena unawavutia watalii wengi kutokana na historia yake.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com