POTSDAM: mawaziri wamaliza mkutano juu ya mabadiliko ya hali ya hewa | Habari za Ulimwengu | DW | 18.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

POTSDAM: mawaziri wamaliza mkutano juu ya mabadiliko ya hali ya hewa

Mawaziri wa nchi tajiri nane duniani,wamemaliza mkutano wao na mawaziri wanzao kutoka nchi zinazoinukia kiuchumi uliofanyika katika mji wa Potsdam Ujerumani juu ya hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Waziri wa mazingira wa Ujerumani bwana Sigmar Gabriel ametoa mwito juu ya kuwapo mwambatano baina ya kukabiliana na mabadiliko ya hewa na maendeleo ya uchumi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com