1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mazingira

Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.

Mimea na wanyama, lakini pia udongo, maji vyote ni sehemu ya mazingira yanayotuzunguka na tunavitegemea ili kuishi vizuri. Mada za mazingira zinagusa maisha yetu ya kila siku, kuanzia kinakotokea chakula tunachokula, hadi inanyotengenezwa nishati tunayotumia, na mpaka kinachotokea kwa uchafu tunaozalisha. Huu hapa ni mkusanyiko wa mada za mazingira za DW.

Onesha makala zaidi