NAIROBI: Picha yasambazwa kuhusika na mripuko wa nchini Kenya | Habari za Ulimwengu | DW | 16.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NAIROBI: Picha yasambazwa kuhusika na mripuko wa nchini Kenya

Wachunguzi wamesambaza picha ya mtu alie na habari kuhusu mripuko ulioua mtu mmoja na kuwajeruhi wengine 37 katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.Mripuko huo ulitokea siku ya Jumatatu,nje ya mkahawa mdogo karibu na Ambassadeuer Hotel”. Bado haikuthibitishwa nani au ni kitu gani kilichosababisha mripuko huo na hakuna aliejitokeza na kudai kuhusika na shambulizi hilo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com