Mzozo kuhusu mswada wa kudhibiti Uandishi Habari nchini Kenya
6 Januari 2009
Hatua ya rais Mwai kibaki kutia saini mswada wa kuvidhibiti vyombo vya habari nchini Kenya imeendelea kupokelewa kwa maoni tofauti huku ikitishia kusababisha mgawanyiko katika serikali ya umoja wa kitaifa.
https://p.dw.com/p/GT9j
Matangazo
Mwandishi wetu Jane Nyingi ametaka kupata maoni ya waandishi habari nchini Kenya na alizungumza na Mohammed Juma Njuguna, na kwanza alimuuliza walipokea vipi hatua hiyo ya Rais Kibaki.