Mwendesha mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa awasili nchini Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.11.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mwendesha mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa awasili nchini Kenya

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita-ICC, Luis Moreno-Ocampo, amewasili nchini Kenya.

default

Luis Moreno Ocampo yupo nchini Kenya

Baadaye leo atafanya mazungumzo na viongozi wa Kenya, juu ya hatua za kushtakiwa watuhumiwa wa machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007.

Grace Kabogo amezungumza na Hassan Omar Hassan, Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Haki za Binaadamu nchini Kenya na nilianza kumuuliza nini matarajio ya Wakenya kutokana na ziara hii ya Ocampo.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Hassan Omar Hassan

Mhariri: M.Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com