Mwamuzi wa soka wa kike Tanzania kusimamia Kombe la Dunia kwa Wanawake 2019 | Media Center | DW | 13.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mwamuzi wa soka wa kike Tanzania kusimamia Kombe la Dunia kwa Wanawake 2019

Kutana na Jonesia Rukyaa, mwamuzi wa mpira wa miguu wa kike nchini #Tanzania mwenye beji ya Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA World Cup na ambaye amechaguliwa kuchezesha mechi za fainali zijazo za Kombe la Dunia kwa Wanawake zitakazofanyika nchini Ufaransa, Juni 7 - Julai 7.

Tazama vidio 02:09
Sasa moja kwa moja
dakika (0)