1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

FIFA

Shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu, FIFA ni chama kinachoongozwa na sheria za Uswisi kilichoanzishwa mwaka 1904, kikiwa na makao yake Zurich.

FIFA ina vyama wanachama 209 na lengo lake, lililoinishwa katika mkataba wake, ni kuendelea kukuza soka. FIFA iliasisiwa Mei 21, 1904 mjini Paris na wajumbe kutokan Ubelgji, Denmark, Ufaransa, Uholanzi, Uhispania, Sweden na Uswisi. Katika ukurasa utapata maudhui za DW kuhusu FIFA.

Onesha makala zaidi