1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto ya ubaguzi wa kijinsia katika soka la Tanzania

Sudi Mnette
7 Februari 2024

Wanawake wa Kiafrika ni sehemu ya soka ya dunia. Wanawake 72 wa Tanzania ni waamuzi wakiwa na wenzao wa kiume 500 katika mchezo huo. Wanawake ambao wanajua jinsi ya kutekeleza sheria za mchezo sasa wanasema wanataka kutambuliwa zaidi kitaaluma.

https://p.dw.com/p/4c7wX