1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Liberia wabadili maisha kupitia mchezo wa Bahari

10 Februari 2026

Kuteleza kwenye mawimbi nchini Liberia kumegeuka kuwa zaidi ya mchezo. Katika mji wa pwani wa Robertsport, vijana wanaunda mustakabali wao — kupitia nidhamu, umoja wa jamii, na bahari wanayoita nyumbani.

https://p.dw.com/p/58T5A
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Vijana Mubashara

Vijana Mubashara