MOSCOW: Gorbachev apendekeza Kohl apewe Tuzo ya Amani | Habari za Ulimwengu | DW | 12.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MOSCOW: Gorbachev apendekeza Kohl apewe Tuzo ya Amani

Mikhail Gorbachev aliekuwa rais wa Soviet Union ya zamani,amependekeza Kansela wa zamani wa Ujerumani,Helmut Kohl apewe Tuzo ya Amani ya Nobel.Gorbachev alieanzisha mfumo wa demokrasia nchini mwake katika miaka ya 80 ameandika barua kwa kamati ya Nobel mjini Oslo.Amesema,Kohl alichukua nafasi muhimu katika matokeo ya kihistoria yaliyokwenda kwa amani.Gorbachev binafsi alipewa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 1990.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com