Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Tuzo za filamu maarufu "The Oscars" zinaunda sherehe kubwa zaidi ya Hollywood katika sekta ya filamu.
Tuzo za Oscar zinachukuliwa kama tunzo za heshima zaidi katika sekta ya filamu. Maudhui za karibuni za DW kuhusu tukio hilo zinakutikana hapa.
Mahakama ya Rwanda imeanza leo kusikiliza kesi dhidi ya meneja wa zamani wa hoteli ya Mille Collines mjini Kigali, Paul Rusesabagina, ambaye alipata umaarufu kimataifa kupitia filamu ya Hollywood, Hotel Rwanda.
Harvey Weinstein, mtu mwenye ushawishi mkubwa katika tasnia ya filamu ya Marekani Hollywood, amekamatwa Ijumaa na kushtakiwa kwa ubakaji na uhalifu wa kingono, karibu miezi nane tangu kuanza kwa Kampeni ya #MeToo
Serikali ya Syria yasema madai ya Marekani ni kama filamu mpya ya Hollywood isiyokuwa na ukweli wowote wa uhalisia wa mambo
Wakaliwood ndiyo Hollywood ya Uganda. Katikati mwa Wakaliga, kitongoji kilicho katika mazingira duni katika mji mkuu wa Kampala, Isaac Nabwana amekuwa akitengeneza filamu kwa bajeti ndogo kwa miaka 8. Hivi sasa ni nyota wa kimataifa. Filamu zake zinatazamwa sana Youtube, hata waigizaji wa Hollywood walitaka kushiriki. Waganda wanaanza kugundua kwamba zipo filamu zilizotengenezwa nchini mwao.
"Moonlight” imeshinda tuzo ya Oscar ya kuwa filamu bora kabisa, lakini sherehe za kutangazwa tuzo hizo ilikumbwa na mkanganyiko mwishoni kuwahi kushuhudiwa katika historia yake.
Kumalizika enzi za rais wa kwanza wa Marekani mwenye asili ya Afrika, Hollywood yadhihirisha kutokubaliana na sera za rais mteule wa Marekani Donald Trump na mjadala kuhusu hatua za usalama nchini Ujerumani magazetini.
Teknolojia sasa inawezesha watu "kudownload" filamu wanazozipenda bila kulazimika kwenda kwenye ukumbi wa sinema. Vijana Mchaka Mchaka inaangalia namna filamu za kughushi zinavyopata soko Afrika.
Wakenya huko Kenya na walioko nchi za ng'ambo wanaendelea kusherehekea ushindi wa Mwana wa Seneta Anyang' Nyongo, Lupita Nyong'o ambaye ametuzwa tuzo ya kifahari ya filamu - tuzo inayojulikana kama Oscar nchini Marekani.
Wanadiplomasia wa mataifa ya Magharibi, viongozi wakongwe na hata wasanii maarufu wa Hollywood wameshawasili kwenye eneo la Kusini ya Sudan wakati wakaazi wanajiandaa kwa kura ya maoni itakayoiamua hatma ya eneo lao.