Mkuu wa waasi wa Mai Mai aliyehusika na ubakaji akamatwa Kongo | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 06.10.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Mkuu wa waasi wa Mai Mai aliyehusika na ubakaji akamatwa Kongo

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya ubakaji katiká maneo ya mizozo, Margot Wallstrom asema ni hatua nzuri kuhakikisha akina mana waliobakwa wanatendewa haki

Mwanamke na watoto wa Mashariki mwa Kongo

Mwanamke na watoto wa Mashariki mwa Kongo

Nchini Kongo kamanda wa kundi la waasi wa Mai Mai Cheka amekamatwa katika operesheni ya Umoja wa Mataifa na wanajeshi wa serikali iliyofanyika eneo la Mashariki mwa Nchi hiyo. Muasi huyo anatuhumiwa kuhusika na visa vya ubakaji wa kiasi ya zaidi ya wanawake 300 wakaazi wa eneo la Mashariki ya Kongo. Uhalifu huo ulitokea katika miezi ya Julai na Juni.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mpitiaji:Thelma Mwadzaya

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com