Mkutano wa Mazingira na Maji wa bonde la mto Nile | Masuala ya Jamii | DW | 21.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mkutano wa Mazingira na Maji wa bonde la mto Nile

Kumefunguliwa mjini Kinshasa mkutano wa mawaziri wa mazingira na maji wa mataifa wanachama wa bonde la mto NILE.

Madhumuni ya mkutano huo wa siku mbili nikukadiria miradi ya jumuiya hiyo,ikiwemo huduma ya umeme kwa wananchi wa mataifa wanachama.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com