Mkutano wa mawaziri wa fedha wa Afrika | Matukio ya Kisiasa | DW | 04.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa mawaziri wa fedha wa Afrika

Mawaziri wa fedha mipango na maendeleo kutoka nchi mbali mbali za Afrika walikutana tena huko Addis Ababa Ethiopia kujadili mafanikio ya bara hilo kuelekea malengo ya Millenium yaliyopendekezwa na Umoja wa Mataifa.

Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura amezungumza na waziri wa mipango,uchumi na wezeshaji wa Tanzania Dkt. Juma Ngasongwa ambaye amehudhuria mkutano huo na kwanza amemuuliza ni kwanini bara la Afrika linaonekana kuchelewa katika safari hii ya kufikia malengo ya Millenium?

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com