1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sarafu

Wahenga walisema "Fedha huvunja nguvu na milima ikalala." Lakini kwa hili kuwa na maana, sarafu za kitaifa laazima ziwe bohari za thamani zinazotambulika na kuaminika ziweze kutumiwa katika biashara ya fedha za kigeni.

Sambamba na mfumo wa fedha zilizozoeleka, kuibuka kwa mtandao wa intenet kumeibua pia kile kinachojulikana kama sarafu za mtandaoni pamoja na faida na hasara zake. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za DW zinazohusiana na pesa na sarafu.

Onesha makala zaidi