Miaka 45 ya Uhuru wa Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Miaka 45 ya Uhuru wa Kenya

Kenya imeadhimisha miaka 45 tangu kupata uhuru wake kutoka kwa Uingereza.

Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga.

Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga.

Sherehe zimefanyika kote nchini humo na kilele chake kikawa katika uwanja wa michezo wa Nyayo ambako Rais Mwai Kibaki alihutubia umati wa watu.Pembezoni mwa sherehe hizo watu yapata 60 wamekamatwa na polisi kwasababu ya kuvalia t shirt zilizokuwa na maandishi yanayowashinikiza wabunge kulipa kodi pamoja na mswada wa mawasiliano ulio na azma ya kuvibana vyombo vya habari.

Mwandishi wetu wa Nairobi Alfred Kiti alihudhuria sherehe hizo na kuandaa taarifa ifuatayo


Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com