Mawaziri wa Ujerumani na China kukutana leo | Matukio ya Kisiasa | DW | 28.06.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mawaziri wa Ujerumani na China kukutana leo

Mawaziri wa Ujerumani na China wanakutana hii leo mjini Berlin, kwa mazungumzo ya pamoja ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika, ambapo ajenda kuu inatarajiwa kuwa ushirikiano wa kibiashara baina ya pande mbili

default

Kansela Angela Merkel na Waziri mkuu wa China Wen Jiabao

Mawaziri hao wa China wamo katika ujumbe wa Waziri mkuu wa nchi hiyo, Wen Jiabao, ambaye yuko Ujerumani kwa ziara ya siku mbili.

Aliwasili jana jioni na kupokewa na Kansela Angela Merkel.

Berlin Chinas Ministerpräsident Wen Jiabao und Bundeskanzlerin Angela Merkel

Waziri mkuu wa China Wen Jiabao na Kansela Merkel

Awali,  Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani, Guido Westerwelle alisema kwamba atagusia suala la haki za binadamu nchini humo wakati wa ziara hiyo ya Waziri mkuu wa China, hapa nchini.

DW inapendekeza

 • Tarehe 28.06.2011
 • Mwandishi Halima Nyanza(ZPR)
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/11kVE
 • Tarehe 28.06.2011
 • Mwandishi Halima Nyanza(ZPR)
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/11kVE

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com