1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 08.12.2018

Grace Kabogo
8 Desemba 2018

Rais wa Marekani, Donald Trump aukosoa tena Mkataba wa Paris kutokana na maandamano ya Ufaransa // Waasi wa Houthi wametoa wito wa kuanzishwa kwa serikali ya mpito itakayozihusisha pande zote za kisiasa // Mwenyekiti wa tawi la vijana la chama cha Christian Democratic Union, CDU, nchini Ujerumani Paul Ziemiak, achaguliwa kuwa katibu mkuu wa chama hicho

https://p.dw.com/p/39jtn