Rais wa Marekani Donald Trump kukutana na washauri wake wa usalama kuijadili Korea Kaskazini. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na mpinzani wake mkuu Martin Schulz, watakutana leo kwa mdahalo pekee wa televisheni. Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga, asema muungano wake wa upinzani hautokubali kugawana madaraka.