Maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda yamemalizika hii leo mjini Hannover,Ujerumani | Matukio ya Kisiasa | DW | 20.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda yamemalizika hii leo mjini Hannover,Ujerumani

Maonyesho ya kimataifa ya Hannover yamemalizika hii leo.

Wageni waliotembelea maonyesho katika mji wa Hannover

Wageni waliotembelea maonyesho katika mji wa Hannover

Maonyesho hayo ambayo mwaka huu yaliegemea zaidi katika bidhaa ya upepo yalivutia zaidi ya washiriki elfu sita kutoka kote duniani.

Kutoka Hannover Aboubakar Liongo ametuletea ripoti ifuatayo.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com