Maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda mjini Hannover,Ujerumani | Matukio ya Kisiasa | DW | 19.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda mjini Hannover,Ujerumani

Serikali ya Ujerumani imesema kuwa itaendelea na utaratibu wa kuyasaidia makampuni ya hapa nchini yanayotaka kuwekeza barani Afrika aktika sekta ya nishati.

Maonyesho ya Hannover yalioanza tarehe 16.04.07

Maonyesho ya Hannover yalioanza tarehe 16.04.07

Hayo yamesemwa na mkurugenzi mkuu msaidizi wa kitengo cha nje cha uchumi katika wizara ya uchumi na teknolojia ya Ujerumani Dk.Michael Kruse kwenye kongamano la nishati Afrika pembezoni mwa maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda mjini Hannover.

Abubakar Liongo ambaye amehudhuria maonyesho hayo ana taarifa kamili.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com