Malumbano baina ya Mungiki na Polisi wa Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.04.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Malumbano baina ya Mungiki na Polisi wa Kenya

Nchini Kenya polisi wamewaua wanachama wawili wa kundi lililopigwa marufuku la Mungiki walipopigwa risasi hadi kufa jana usiku katika mtaa wa Dandora mjini Nairobi.

Mapigano baina ya Polisi na kundi la Mungiki

Mapigano baina ya Polisi na kundi la Mungiki

Mwanzoni mwa wiki hii viongozi wawili wa kundi hilo walipigwa risasi hadi kufa walipkuwa wakeliekea mjini Naivasha kwa gari.Vifo hivyo viliwalazimisha wanachama wa kundi hilo kuahirisha kikao kilichopangwa kufanyika hapo jana kati yao na serikali.Hii ingekuwa mara ya kwanza kwa serikali kukutana rasmi na kundi hilo baada ya Waziri Mkuu Raila Odinga kuagiza mkutano huo majuma mawili yaliyopita.Hasa kundi hili la Mungiki lina malengo gani?


Thelma Mwadzaya amezungumza na Msemaji wa Kundi hilo Njuguna Gitau Njuguna.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com