1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Je, Trump ameamua kuishambulia kijeshi Iran?

25 Februari 2026

Rais Donald Trump wa Marekani amelihutubia taifa lake akizungumzia, miongoni mwa mengine, kitisho cha kuivamia Iran kijeshi endapo taifa hilo la Ghuba halitatii matakwa yake, yakiwemo ya kuharibu mfumo wake wa makombora ambayo anadai yanaweza kuishambulia Washington. Mchambuzi Ibrahim Rahbi anafafanuwa kilichomo kwenye kitisho hicho.

https://p.dw.com/p/59Nlz