MADRID: Waafrika 50 wasakwa baharini Ulaya | Habari za Ulimwengu | DW | 19.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MADRID: Waafrika 50 wasakwa baharini Ulaya

Walinzi wa pwani nchini Hispania,wanawasaka kiasi ya Waafrika 50 waliokuwa katika boti iliyopinduka baharini.Watu hao walitaka kukimbilia Visiwa vya Kanary kwa njia zisizo halali.Waafrika wengine 48 wameokolewa baharini,kama maili 89 kusini-magharibi ya kisiwa cha kitalii cha Tenerife.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com