Kwa nini Afrika ishindwe wengine walipoweza?
24 Juni 2011Matangazo
Hawra Shamte anauangalia Ushirika Mpya wa Mataifa ya Afrika kwa Maendeleo (NEPAD) na namna ambavyo nchi wanachama zimeweza au zimeshindwa kuutumia ushirika huo kama kichocheo cha kulikwamua bara la Afrika.
Mtayarishaji/Msimulizi: Hawra Shamte
Mhariri: Othman Miraji