Kufuatilia mgawanyiko wa mji wa Berlin | Mada zote | DW | 09.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kufuatilia mgawanyiko wa mji wa Berlin

Mnamo Novemba 9, 1989 mpaka wa Mashariki na Magharibi ulifunguliwa ghafla. Usiku huo watu walisherehekea nje ya lango la Brandenburg. Ukuta huo ukageuka historia. DW inafuatilia mabaki ya ukuta ulioitenganisha Berlin.