Kuanzishwa kwa Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 08.02.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kuanzishwa kwa Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania

Tanzania imeanzisha mchakato wa kuwatambua na kuwasajili raia na wasiokuwa raia katika nchi hiyo ili baadae kutoa vitambulisho vya utaifa.

Kwa mujibu wa mamlaka ya vitambulisho nchini humo ni kwamba vitambulisho vya utaifa vinatazamiwa kuanza kutolewa mwishoni mwa mwaka huu.

Othman Miraji alizungumza kwa njia ya simu na mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya taifa, Dickson Mwaimu, juu ya zoezi hilo. Lina madhumuni gani hasa?

Mahojianio/Othman Miraji/Dickson Mwaimu

Mpitiaji:M.Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com