JERUSALEM: Israel itajibu mashambulio ya Wapalestina | Habari za Ulimwengu | DW | 04.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

JERUSALEM: Israel itajibu mashambulio ya Wapalestina

Serikali ya Israel imesisitiza kuwa yale makubaliano yaliopatikana kati ya Israel na makundi ya Kipalestina kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza,hayatoingiza eneo la Ukingo wa Magharibi.Israel imesema,vikosi vyake katika Ukingo wa Magharibi vipo tayari kupunguza shughuli zake katika eneo hilo,lakini halitosita kuchukua hatua,dhidi ya mashambulio ya Wapalestina.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com