Hujuma dhidi ya kasri la Rais Kabila | Matukio ya Kisiasa | DW | 27.02.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hujuma dhidi ya kasri la Rais Kabila

Njama za kutaka kupindua serikali zashindwa katika jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo

default

Rais Kabila wa DRC (kulia)na rais Sarkozy wa Ufaransa

Watu sita wameuwawa hii leo katika jamhuri ya kidemkrasi ya Kongo kufuatia njama ya mapinduzi.Hayo ni kwa mujibu wa viongozi wa serikali mjini Kinshasa."Tumeshuhudia njama ya kutaka kuipundua serikali"Kundi la watu waliokuwa na asilaha nzito nzito wamehujumu kasri la rais" amesema waziri wa habari Lambert Mende."Wamezuwiliwa katika kizuwizi cha mwanzo barabarani-Ameendelea kusema waziri huyo na kusisitiza hali inadhibitiwa na serikali.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com