Hofu ya Virusi vya Corona kuenea Ulaya yazidi kupanda | Media Center | DW | 26.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hofu ya Virusi vya Corona kuenea Ulaya yazidi kupanda

Wizara ya afya ya Jimbo la North Rhine Westphalia nchini Ujerumani imesema mtu alliyeambukizwa virusi vya Corona yuko katika hali mbaya na amepelekwa kwenye hospitali ya madaktari bingwa mjini Düsseldorf. Haya yanajiri wakati Italia ilioathirika pia na virusi hivyo ikitoa wito wa ushirikiano katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona. #kurunzi 26.02.20

Tazama vidio 01:09