1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Historia – Kipindi 02 – Falme za zamani

9 Machi 2011

Je jamii za kuhamahama na baadhi ya falme kubwa za zamani zinahusiana vipi? Watu waliishi wakitegemea nini? Na je Kanem Bornu ni nini? Usijali, babu Peter anafahamu mengi bila shaka

https://p.dw.com/p/QsRW