Hali ya kisiasa katika chama cha ODM nchini Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 13.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hali ya kisiasa katika chama cha ODM nchini Kenya

Majadiliano juu ya kuundwa muungano wa upinzani kwenye bunge la Kenya baina ya wabunge wa vyama vya ODM na PNU yanapata kasi huko Nairobi.

default

Wafuasi wa chama cha ODM nchini Kenya

Huku wabunge kadhaa wa ODM wakiwa nyuma yampango huo wakila kiapo kwenda kinyume na wito wa kiongozi wa chama chao na waziri mkuu, Raila Odinga, kwamba waachne na wazo hilo.

Othman Miraji alizungumza na katibu mkuu wa chama cha ODM na waziri huko Kenya, Profesa Anyang Anyong.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com