′Hakuna mwenye mamlaka ya kufuta matokeo ya uchaguzi′ | Tanzania Yaamua 2015 | DW | 29.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tanzania Yaamua 2015

'Hakuna mwenye mamlaka ya kufuta matokeo ya uchaguzi'

Kufuatia hatua ya Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salum Jecha kutangaza kufuta uchaguzi wa Zanzibar, mwansheria maarufu kutoka visiwani humo Bi Fatuma Karume amezungumzia uhalali wa kisheria wa hatua hiyo. Maelezo yake ni katika mahojiano na Iddi Ssessanga

Sikiliza sauti 05:00