1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gerald Bigurube amepata tuzo ya Ujerumani kwa Afrika

23 Mei 2018

Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika kwa mwaka huu imekwenda kwa wanaharakati wa mazingira kutoka Tanzania Gerald Bigurube na mwingine wa Madagascar Clovis Razafimalala. Sikiliza mahojiano ya Gerald Bigurube alipozungumza na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/2yAVO