BERLIN: Ushirikiano wa kiuchumi na sayansi kuimarishwa zaidi | Habari za Ulimwengu | DW | 27.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Ushirikiano wa kiuchumi na sayansi kuimarishwa zaidi

Ujerumani inataka kushirikiana zaidi na India katika sekta za uchumi na sayansi.Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel amesema,biashara ya zaidi ya Euro bilioni 10 inayofanywa kati ya nchi hizo mbili ni motisha.

Siku ya Jumatatu,Kansela Merkel anaanza ziara yake rasmi nchini India,akifuatana na tume kubwa ya wachumi na waziri wa utafiti,Annette Schavan.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com