BERLIN: Rais Yuschchenko wa Ukraine ziarani Ujerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 08.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Rais Yuschchenko wa Ukraine ziarani Ujerumani

Rais Viktor Yuschchenko wa Ukraine,akiwa ziarani nchini Ujerumani,amekutana na Kansela Angela Merkel mjini Berlin.Wakati wa majadiliano yao, Yuschchenko amesisitiza pendekezo la nchi yake la kutaka kuwa mwanachama katika Umoja wa Ulaya. Kansela Merkel ambae hivi sasa ameshika wadhifa wa urais wa Umoja wa Ulaya amesema,upo uwezekano wa kuwa na uhusiano wa karibu na Umoja wa Ulaya,lakini sio uanachama.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com