Berlin. China na Ujerumani yataka azimio haraka dhidi ya Iran. | Habari za Ulimwengu | DW | 21.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Berlin. China na Ujerumani yataka azimio haraka dhidi ya Iran.

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na waziri mkuu wa China Wen Jiabao wamekubaliana haja ya kuidhinisha haraka muswada wa azimio la umoja wa mataifa kuhusiana na mpango wa Iran wa kinuklia.

Kufuatia mazungumzo kwa njia ya simu, viongozi hao wawili wamesema ni muhimu kwa jumuiya ya kimataifa kuwa pamoja dhidi ya ukaidi wa Iran unaoendelea wa miito ya kusitisha urutubishaji wa madini ya uranium.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com