BAKU:Azerbaijan yakubali makombora ya Marekani na Urusi kuwekwa nchini mwake | Habari za Ulimwengu | DW | 08.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAKU:Azerbaijan yakubali makombora ya Marekani na Urusi kuwekwa nchini mwake

Nchi ya Azaerbaijan inakubali mapendekezo ya rais wa Urusi Vladimir Putin ya kutumia radar ya pamoja na Marekani katika nchi yake kwenye mpango wa kuweka makombora ya kujihami.Kulingana na Azerbaijan hatua hiyo itaimarisha usalama katika eneo hilo.

Marekani inashikilia kuwa mpango huo ni kujilinda dhidi ya nchi kama Iran na Korea kaskazini wala sio kulenga Urusi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com