Asubuhi: Taarifa ya Habari Saa 12:00 (Afrika Mashariki) | Media Center | DW | 27.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Asubuhi: Taarifa ya Habari Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Ripoti ya Umoja wa Mataifa yazituhumu Israel na muungano wa majeshi unaoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen kusababisha vifo vya watoto 729 mwaka uliopita.// Zaidi ya watu 400,000 wameyakimbia makaazi yao katika miezi mitatu iliyopita nchini Syria kufuatia mashambulizi.//Na washirika wa Uingereza katika Umoja wa Ulaya wamuonya waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kuhusu Brexit

Sikiliza sauti 07:59