Aliyekuwa rais wa Burundi Domicien Ndayizeye ameonana na Hussein Rajabu gerezani | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Aliyekuwa rais wa Burundi Domicien Ndayizeye ameonana na Hussein Rajabu gerezani

Rais wa zamani wa Burundi Domicien Ndayizeye ameonana na Hussein Rajabu gerezani.

default

Domitien Ndayizeye

Bw. Domicien Ndayizeye amekuwa kiongozi wa kwanza kabisa wa kisiasa nchini Burundi kwenda kumuona Hussein Rajabu anakozuiliwa katika gereza kuu la Mbimba mjini Bujumbura kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

Ziara yake hiyo imezusha tafsiri tafauti miongoni mwa wananchi wa Burundi kama anavyoripoti hapa Hamida Issa kutoka Bujumbura.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com