1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

18 Septemba 2020

Fuatilia yaliyojitokeza katika bara la Afrika kwa juma hili ambapo Sylvia Mwehozi amekuandalia mengi, ikiwemo kutiwa saini kwa makubaliano ya ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi baina ya Tanzania na Uganda.

https://p.dw.com/p/3igzt

Mengine ni Kenya na Tanzania zarejesha safari za ndege baina yake // Mkosoaji wa serikali ya Rwanda Paul Rusesabagina afikishwa kizimbani mjini Kigali // Nchini Mali utawala wa kijeshi bado waandamwa juu ya kuunda serikali ya kiraia // Mkuu wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa atangaza kukabidhi madaraka kwa serikali mpya kufikia mwishoni mwa Oktoba.