Afrika, Marekani kushirikiana kuangamiza ugaidi | Matukio ya Afrika | DW | 20.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Afrika, Marekani kushirikiana kuangamiza ugaidi

Wakuu wa majeshi ya nchi kavu wa nchi za Afrika wemafanya mkutano na jeshi la Marekani kuimarisha usalama Afrika. Mkutano huo wa kilele umefanyika Arusha, Tanzania. Wajumbe wameahidi kufanya kazi pamoja.

Sikiliza sauti 02:45

Ripoti ya Charles Ngereza kutoka Arusha

Wajumbe wa mkutano wa wakuu wa majeshi ya nchi kavu Afrika na Marekani

Wajumbe wa mkutano wa wakuu wa majeshi ya nchi kavu Afrika na Marekani

Meja Jenerali Darryl A William (kushoto) wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa, mkuu wa jeshi la nchi kavu Tanzania

Meja Jenerali Darryl A William (kushoto) wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa, mkuu wa jeshi la nchi kavu Tanzania

Sauti na Vidio Kuhusu Mada