26.07.2021 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 26.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

26.07.2021 Matangazo ya Asubuhi

Mapema leo Spika wa Bunge la Tunisia, Rached Ghannouchi ametoa wito wa raia wa taifa hilo kushiriki maandamano, kwa lengo la kukifikisha kikomo kile alichokiita mapinduzi, baada ya Rais Kais Saied kulizuia bunge na kuivunja serikali.

Sikiliza sauti 08:00