1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.09.2021. Matangazo ya Asubuhi

Sudi Mnette
5 Septemba 2021

Serikali ya mpito ya Mali imelaani maandamano ya polisi wenye silaha ambayo yalisababisha kuachiwa huru kwa kamanda wa kikosi maalumu aliyewekwa kizuizini kwa tuhuma za kutumia nguvu kupita kiasi katika kusambaratisha maandamano ya mwaka uliopita.

https://p.dw.com/p/3zvel