WASHINGTON:Bush ataka fedha zaidi kwa ajili ya vita vya nchini Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 06.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON:Bush ataka fedha zaidi kwa ajili ya vita vya nchini Irak

Rais G.Bush amewasilisha ombi la dola bilioni mia saba kwa ajili ya matumizi ya kijeshi ikiwa ni sehemu ya bajeti ya dola trilioni 2 nukta tisa anayotaka ipitishwe na bunge la nchi yake.

Sehemu kubwa ya dola hizo bilioni mia saba itatumika kwa ajili ya vita vya nchini Irak na Afghanistan.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com