WASHINGTON;Bush aidhinisha mpango wa kuweka kituo cha majeshi ya Marekani barani Afrika | Habari za Ulimwengu | DW | 07.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON;Bush aidhinisha mpango wa kuweka kituo cha majeshi ya Marekani barani Afrika

Rais G . Bush ameidhinisha mpango wa nchi yake juu ya kuweka kituo maalumu cha majeshi ya Marekani barani Afrika.Marekani imesema kituo hicho kitasaidia katika kutekeleza maslahi ya kijeshi ya Marekani na hasa katika harakati za kupambana na ugaidi.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com